Safari ya Barabarani (Coaster) — Camping

Safari ya kawaida: coaster kutoka Dar / Mbeya / Dodoma / Iringa, kulala mahema chini ya nyota za Ruaha.

Includes

  • Usafiri wa coaster kwenda na kurudi
  • Usafiri wa pamoja kwenda na kutoka Ruaha
  • Mahema ndani ya Ruaha + camping Mabata Makali Lodge
  • Chakula kamili
  • Vifaa vya marathon
  • Kuingia after-party

Accommodation

  • 2026-07-03Camping inside Ruaha
  • 2026-07-04Mabata Makali Lodge (camping)
  • 2026-07-05Mabata Makali Lodge (camping)